Leo motorola wamezindua simu hizo hapo juu. Kama unavyojua hapa jamiiforums tunairecomend sana moto g kama simu nzuri ya midrange 300,000 hadi 500,000. Hebu tuangalie hii simu mpya ya moto g ni...
Wakuu za asubh !!!
Naomba msaada wa kitaalam, A/C yangu ya Yahoo inakataa kufunguka ila haitoei kama password au mail ni wrong no !! Ila kila nikiingiza mail na password inadai tena password na...
TTCL Acting Chief Executive Officer Peter Ngota (R), presents a certificate of completion of fiber-optic network connectivity to Acting Director General of MSD Cosmas Mwaifani.
Tanzania...
Ninatumia simu aina ya huawei G630 ni mpya kabisa. Ina internal memory ya 4GB .Nimeamua kuiongezea na memory card ya 16GB.
Tatizo ililonalo ni kuwa ninapotaka ku-update application yoyote or...
kama una kampuni ya domain registration kwa hapa tanzania.nipe mawasiliano yako hapa hapa na link ya kampuni husika ili unisaidie pia kuandikisha domain husika.jina nitakupa.Au niwekee url ya...
Hii imekua around kwa muda mrefu sana huku ikijichukulia umaarufu kwa watu wengi kiasi cha watu kuondoa Kaspersky Antivirus ili kuiruhusu SMADAV kufanya kazi kwenye PC zao.
Mbaya zaidi kuna...
Wakubwa, naomba kufahamishwa bei za
1.oil filter
2.air filter
3.fuel filter
za SUBARU IMPREZZA na FORESTER STI.....na duka maarufu hapa DAR wanapouza genuine subaru parts.
cc: CYBERTEQ MANI...
Habarini wanajukwaa
Simu yangu imejifuta mesage zote watsup gafla, nahitaji nizirudishe koz nna namba muhimu ambazo sikuwa nimezisave, zimefutika pia taarifa nyingine muhimu za kwenye msg...
Heshima kwenu jamani!
nimeinstall sony vegas pro 12 nikaingiza serial key then nika register from another computer nikajaza yale maelezo yote kisha nika save.
Tatizo linaanzia inapoomba...
Habari zenu ndugu zangu, Nina receiver yangu ya strong ambayo niliinunua takribani mwaka mmoja uliopita ila kuna siku mvua ilinyesha kubwa sana inayoandamana na radi na sikuchomoa nyaya ya signal...
Nikikonekti modem hata bila kufungua kituo cha intaneti MB zinatumika.Nikianza kubrowse tu mb 300 ndani ya nusu zimekwisha bila kudownload hapo ni JF au FB.
Tatizo ni nini?
Ina windows 8
Modem...
Nimetengeneza a simple chat application inayokuwezesha kuchat na watu mbalimbali dunia nzima anonymously, yaani unaficha information zako zote unatumia nickname peke yake, Unaweza kuchat na random...
Ndugu wana JF,
Nimekua nikipata simu toka Tigo (0901656564) hii namba imekua kero, yaani wanakupigia then hakuna la maana wanaloongea, so wapendwa ni namna gan naweza disable calls za hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.