Hi team,it is about 3yrs since GTV got to hell leave us with unused equipmenst. Any body with
solution to bring these unused equipments in operation pls give it to Us.
Msaada jaman kwa anayejua tatizo la hii htc sensation audio bit, yaan kunawakati display inakuwa kama ina blink blink hv ila blinking yake co ile ya kuzima kabisa na kuwaka ispokuwa mwanga tu...
Habari wakuu
Nina number yangu ya voxox nilikuwa natumiaga whatsapp ila baada ya kubadilisha simu kila nikijalibu kijiunga tena inaniletea hivyo
Sasa sijui tatizo mwenye msaada anisaidie.. asante
Wana Jamiiforums leo katika kikao cha shule wetu tumeazimia kufungua website.
Naomba nisaidiwe kuhusu namna na utaratibu mzima wa kufungua website shule kama Taasisi.
Habari wana jamvi ,nimevutika na flat nchi 32 niko Arusha,nimepitia kwenye maduka ya Samsung na kwa Benson bei ya nchi 32 flat aina ya samsung na sony ni 650,000 na 700,000 tshs,kwa home theatre...
habari wanajamvi,napenda kijizwa je kuna software ya kwenye simu android inayoconvert pdf kuwa word.Mind u exclude office lens.which i find it to be uselex. sababbu iko very slow pia inastore...
Wakuu naomba msaada namna ya ku unroot simu yangu ya LG p710. Nilikuwa nataka ku update naambiwa simu ilio rooted haina uwezo wa kupokea update. Sikulijua hili mapema. Please.
Habari wakuu
Nina simu ya samsung galaxy GT-I9000,toka juzi inaji-switch kwenye flight mode automtically,kwa hiyo inakata kila kitu yaana si-access chochote,nimejaribu kufanya factory reset lakini...
Natumia betri ya incoe ya maji N50 nilichanganya waya ya sola nikaweka waya wa hasi kwenye sehemu ya chanya na chanya kwenye sehemu ya hasi sasa betri haiwashi hata taa nifanye nn?
Nimeibiwa Simu yangu maeneo ya Karume mid a ya mchana.
Kuna namna yoyote naweza kuifunga, kuitrack na nikaipata?
Nimeinstall TrustGo, NQ na Android Security na IP address ninazo. Msaada...
Kichwa cha habari chausika, ninatumia tecno p3 inanitumia sms kama hii kila wakati " ZONE 90% AIRTEL - 80% OTHERé" " ZONE 90% AIRTEL - 80% OTHERé""From: CH (50) ZONE 90% AIRTEL - 80% OTHERé"Yan...
Wadau wa ujenzi,
Katika pitapita zangu, nimeona kuna milango ya chuma lakini ukiiangalia ni kama wa mbao. Naomba kujua uimara wake ukoje, nimeona milango hii mingi ya China, nami vitu vya China...
Jaman, msaada juu ya kujiunga na ualimu ngazi ya chet, pia vyuo vinavyotoa nafasi hizo ikiwa ni pamoja na taratibu
Zake.
Natangulia shukran, mim nipo Dar
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.