Subaru Service Parts

Subaru Service Parts

Msimbazi kwa yule mchaga bei ni kali jaribu mtaa wa lindi naona wengi wameanza kuweka. Oil filter natumai inaingiliana na ya toyota namba mbili kama sikosei.
 
mbona vyote hapo vinaingiliana na Toyota?
sema ndio hivyo wengi huwa mnapigwa kwenye majina ya magari lkn kibongo bongo ukiwa akili NYINGI hupati tabu kama unaweza ww vifungue shika mkononi then nenda madukani katafute utauziwa bei poa.lkn ukijipendeke kulopoka kuwa sijui ya Subaru imekula kwako
 
ok asante kwa taarifa hii
 
mkuu sina hii gari nimeuliza tu kwasababu fulani fulani.
 
Mkuu hebu cheki nasikia facebook wana group ya Subaru!!!!
Owners na fans, waweza pata mawili matatu!!
 
au kama yupo dar anaweza kwenda kinondoni pale viwanja VYA biafla kuna club ya Subaru na FUNDI WA Subaru nae yupo palepale
 
Bongo kweli tumeendelea, tůna mpaka clubs za ndinga, duh!
 
Wakubwa, naomba kufahamishwa bei za
1.oil filter
2.air filter
3.fuel filter
za SUBARU IMPREZZA na FORESTER STI.....na duka maarufu hapa DAR wanapouza genuine subaru parts.

cc: CYBERTEQ MANI OLESAIDIMU Kaizer

salaam mkuu, mtafute dhk1 anauza spare za subaru. kama unataka fundi nenda hapo kwenye club ya jamaa wa subaru mtafute Andrew (anapatikana 0-60 Subaru Garage), kama ni gari ya perfomance huyohuyo atakusaidia, au mtafute mjerumani mmoja anaitwa Heiko ndiyo mwisho wa subaru.
ukikwama sema mkuu.
 
thanks bro.....
 
Habari! Naomba nielekeza wapi duka la Subaru parts hapa dar es salaam?
 
Msimbazi/Swahili street,kama unajua ilipo Diamond Trust Bank kama unatokea mataa ya morogoro road kuelekea round about ya uhuru upande huo huo wa bank jengo linalofuata pana duka linaitwa Hai Agency,jamaa wanapiga bei but hukosi kitu pale.
Thomas0n
 
Last edited by a moderator:

Asante, kaka
 
Last edited by a moderator:
Ukitaka spear za Subaru nenda ilala pale machinga complex kuna waarabu wamespecialise kwenye subaru parts. Duka lao linaitwa Zizu, ni mzee mmoja wa kiarabu uauwalaza kama zidane na hata yeye mwenyewe anatumia Subaru. Pale utapata kila kitu ukitacho kwenye subaru. Spea zipo za kumwaga.
 
Back
Top Bottom