Pakua hii android app

Pakua hii android app

NullPointer

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2011
Posts
3,461
Reaction score
2,284
Nimetengeneza a simple chat application inayokuwezesha kuchat na watu mbalimbali dunia nzima anonymously, yaani unaficha information zako zote unatumia nickname peke yake, Unaweza kuchat na random users, yaani unaweka range ya miaka na jinsia unayotafuta app yenyewe inakutafutia online randomly then mnaanza kuchat. Na kuna chat groups pia, unaweza jiunga na online chat group yoyote au ukafungua chat group ya kwako na ikaonekana public dunia nzima mtu yeyote akaweza kujoin...

Download hapa

Ni very quick development kwa hiyo kama kuna feature ina miss nikiwa na muda nitaiongeza with every new update..
Ukidownload ningependa utoe rating kwa kuingia kwenye navigation menu na kwenda feedback kutoa maoni..


Stats for geeks:
Native android app Java,
Backend Node.js, XMPP protocol na a bit of Socket.io,
 

Attachments

  • Screen3.png
    Screen3.png
    24.2 KB · Views: 260
  • Screen1.png
    Screen1.png
    51.1 KB · Views: 253
  • Screen2.png
    Screen2.png
    29.4 KB · Views: 256
Vipi ni kwa android pekee au?
Ni kwa android pekee, iOS inakuja hewani after two weeks, apple wanachukua wiki sio chini ya mbili kupublish app hewani so subira yako kidogo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom