Nataka kununua Domain mbili ya .com na .co.tz wahusika nipe contacts

Rutunga M

JF-Expert Member
Mar 16, 2009
1,769
1,382
kama una kampuni ya domain registration kwa hapa tanzania.nipe mawasiliano yako hapa hapa na link ya kampuni husika ili unisaidie pia kuandikisha domain husika.jina nitakupa.Au niwekee url ya kampuni bora kwa kazi hii hapa bongo.

Asante.

NOTE:Tumalizane hapa hapa siyo mambo ya PM.
 
Wasiliana nami kupitia mikeyamon@gmail.com
 
kama una kampuni ya domain registration kwa hapa tanzania.nipe mawasiliano yako hapa hapa na link ya kampuni husika ili unisaidie pia kuandikisha domain husika.jina nitakupa.Au niwekee url ya kampuni bora kwa kazi hii hapa bongo.

Asante.

NOTE:Tumalizane hapa hapa siyo mambo ya PM.
kwan uko wap? je unataka domain tu au na hosting ? na unataka package na bandwidth kias gan per month or year
 
Back
Top Bottom