Msaada: Yahoo Mail yangu inadai username na password tena na tena

Msaada: Yahoo Mail yangu inadai username na password tena na tena

Dupe

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2013
Posts
1,668
Reaction score
813
Wakuu za asubh…!!!
Naomba msaada wa kitaalam, A/C yangu ya Yahoo inakataa kufunguka ila haitoei kama password au mail ni wrong no…!! Ila kila nikiingiza mail na password inadai tena password na nikiingiza tena bado inadai password tu mpaka bas so naomba msaada hiki ni kitu gan? Nasolve vipi ili tatizo?
 
kama uliweka alternative e-mail jarbu ifungue u-comfirme, inatokea kama umebadili password.
 
Unatumia kifaa gani na browser gani?
Au unatumia yahoo app?
 
Back
Top Bottom