naomba msaada.mimi smu yangu aina ya samsung note 3 inaonyesha 16GB kwny file manager ila ukiweka mafaili ya nyimbo ya 1GB inadai imejaa.sijui ni kwa nini na pia sehemu iliyobaki yaani 15GB...
Hi JF members
Msaada wa program ya kuludisha data nilizofuta kwenye recycle bin au usb flash drive maana ni muhimu sana kwangu
Nilihifadh data kwenye laptop mwanzo then nikaamishia kwenye flash ...
Hii inawezekana?? mafundi wa incubators msaada. kuna friji iliharibika. I heard inawezekana kuiconvert kua incubator ya kutotoleshea vifaranga. Mwenye ujuzi.
Nina kajilaptop kangu flani hivi, kana muda mrefu tu tangu kaharibike ila hard drive yake bado ipo poa. Nataka kuichukua hiyo hard drive ili kuongeza kwenye desktop yangu. Ninahitaji kuwa na IDE...
habari wana jamvi, nimenunua laptop mpya dell inspiron 15 3000series, waliniwekea windows 7 lakini haikua haina drivers za sauti amoja na wireless, nimebadilisha OS nkaweka windows 8 tatizo...
Msaada tafadhali
kila nikidownload application kwa mfano;whatsapp;viber;instagram znakubali tatizo ni ku-confirm or to launch! Mara itakuandikia unknown error mara check your internet connection...
Ninapenda java, kwa anayeweza ku-build jf app kwa java enabled phones aje hapa tutete, au kama kuna uwezekano wa kunipa shule itakuwa poa pia.
Ahsamnte.
habarin wakuu,
kuna simu hapa htc android version 2.2.1 nimeletewa niweke whatsapp kila nikidownload playstore naambiwa hii version haipo supported lakini mwanzo kulikuwa na whatsapp kabla haja...
Wadau nataka kwenda pale iStore (Mlimani City) niagizie hii simu kutoka U.S.A ikiwa Unlocked nauliza kwa wazoefu itanigharimu kiasi gani mpaka mzigo wangu ufike Dar es Salaam?
Naomba kuwasilisha!
Mwanzo tuliona app kama tigo pesa wadau wakaizungumziaaa maswala ya security nk.
Hebu tuiangalie na Nmb app kwa walio itumia mnaizungumziaje ukizingatia ni ishu nyeti maswala ya pesa haya.
Habari wakuu,
Nina wazo la biashara ambapo nahitaji mtu wa IT wa kushirikiana nae kama mdau mwenza, mwenye kuweza ku "devolop programs na kutengeneza Android application"
Kwa yeyote ambayo yupo...
Hii kitu inawezekana lakini acha nifanye research zaidi kwa worldwide lakini kwa Tanzania ni uhakika naomba kwa walio nje ya Tanzania watupie namba na jina la nchi waliko kisha mm nitawatumia sms...
Wakuu naomba msaada mafaili yangu yote yamefutika kwenye window 7 vista, hata programme kama vile word excel inaniambia nikanunue, Je nawezaje ku restore hizo programme? Maana zilikuwepo kwenye...
Wakuu kama kichwa hapo kinavyojieleza, naomba msaada wa kipi cha kufanya maana laptop yangu tajwa hapo inagoma ku-start inanipa maneno yafuatayo.."No bootable devices--strike F1 to retry boot, F2...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.