new generation
JF-Expert Member
- Mar 14, 2012
- 815
- 1,725
Ndugu wana JF,
Nimekua nikipata simu toka Tigo (0901656564) hii namba imekua kero, yaani wanakupigia then hakuna la maana wanaloongea, so wapendwa ni namna gan naweza disable calls za hii number (0901656564)?