Receiver yangu ya Strong haikamati signal kabisa

Dola Iddy Wa Chelsea

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2014
Posts
2,125
Reaction score
1,535
Habari zenu ndugu zangu, Nina receiver yangu ya strong ambayo niliinunua takribani mwaka mmoja uliopita ila kuna siku mvua ilinyesha kubwa sana inayoandamana na radi na sikuchomoa nyaya ya signal kutoka kwenye receiver, ile nakuja kuiwasha signal na quality zikawa zinchezea 20% zote na hazipandi , naombeni msaada wenu wadau je itakuwa imeungua kifaa gani na kitanigharimu shilingi ngapi za kitanzania?
 
Strong zipo matoleo mengi mkuu je una toleo gani? Bila shaka tatizo lipo ktk dish lako,mtafute fundi acheki hilo dish
 
Ni toleo jipya ,Hapana kaka nilfanya uchunguzi nikabadili receiver nikaweka nyingine ikakamata vizuri ila ukigusisha waya ya receiver nzima kwenye ulimi inatoa moto mkali kidogo ila hii ya strong haitoi kama inavyopaswa.
 
Habari zenu ndugu zangu, Nina receiver yangu ya strong ambayo niliinunua takribani mwaka mmoja uliopita ila kuna siku mvua ilinyesha kubwa sana inayoandamana na radi na sikuchomoa nyaya ya signal kutoka kwenye receiver, ile nakuja kuiwasha signal na quality zikawa zinchezea 20% zote na hazipandi , naombeni msaada wenu wadau je itakuwa imeungua kifaa gani na kitanigharimu shilingi ngapi za kitanzania?

Mara nyingi mvua zina-affect signal kwenye madish mengi tu, mwaka 2008 nilitumia receiver ya MediaCom 930 plus, mvua ilinyesha kubwa sana. Baada ya mvua kuisha, channel zikakata zote. Nikatoka na receiver yangu mpaka kwa rafiki yangu, nikajaribu kufanya scanning ya channel upya, channel zikawa zimerudi. Nikagundua tatizo lipo kwenye dish nikapanda juu nikafungua ile koki upya, nikajaribu kupandisha na kushusha mpaka channel receiver ikakubali nikafanya scanning upya ndipo channels zikarejea zote. So, ni vema kufanya diagnosis kama hiyo mwenyewe ili ugundue tatizo.
 
kama dish liko sawa na receiver nyingine inafanya kazi basi receiver yako ina tatizo na haya ni ya kuzingatia;
receiver ili ikamate signal inahitaji lnb power na hapa ukipima nyuma ya tuner ule upande unaofunga waya wa lnb kwa kutumia kifaa cha voltmeter inatakiwa iwe volt 18 dc kwa H na volt 14 dc kwa V, kama hizo volt hazipo cheki power supply ya receiver kama inatoa volt 22 dc maana hizo huenda hadi kwenye voltage regulator na kubadilishwa kuwa 18 dc au 14 dc kama vyote vipo sawa na receiver haishiki signal basi tatizo huwa ni tuner.
 
Duu nimenufaika sana na majibu mliyompa muuliza swali. Kweli hii ndio JF a.k.a ONLINE UNIVERSITY
 
Mara nyingi mvua zina-affect signal kwenye madish mengi tu, mwaka 2008 nilitumia receiver ya MediaCom 930 plus, mvua ilinyesha kubwa sana. Baada ya mvua kuisha, channel zikakata zote. Nikatoka na receiver yangu mpaka kwa rafiki yangu, nikajaribu kufanya scanning ya channel upya, channel zikawa zimerudi. Nikagundua tatizo lipo kwenye dish nikapanda juu nikafungua ile koki upya, nikajaribu kupandisha na kushusha mpaka channel receiver ikakubali nikafanya scanning upya ndipo channels zikarejea zote. So, ni vema kufanya diagnosis kama hiyo mwenyewe ili ugundue tatizo.

Kaka nilishafanya uchunguyi nikagundua kuwa receiver yangu ndio mbovu hivyo nahitaji msaada wa kiufundi.
 
ebwana same problem kwenye reciver ya qsat 15,yani mpya hata miezi sita bado,mwenye solution tafadhali ya turner
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom