sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 21,160
- 48,367
Habarini wanajukwaa
Simu yangu imejifuta mesage zote watsup gafla, nahitaji nizirudishe koz nna namba muhimu ambazo sikuwa nimezisave, zimefutika pia taarifa nyingine muhimu za kwenye msg zimefutika..
Hivyo naomba utaratib wa kuzi backup
Shukrani