Habari wanatech,
Nina desktop Duo core ya 2gb of RAM but nataka kuiupgrade hadi 4gb kwaajili ya kuifanya icheze smoothly PC game za kisasa je niweke graphic card ya aina gani na inapatikana...
msaada tafadhali.. nimefuta mafail yangu yote ya muhimu kwenye computer yangu, wenye ujuzi na hili kama naweza kuyapata tena maana ni muhimu kazini na pia kulikuwa na taarifa zangu za msingi...
Wakuu nilinunua simu kwa mtu ikiwa na tatizo la betri (haiwaki) baada ya kushughulikia tAtizo hilo nikawa nikiweka sim card inasoma kama bar moja la netwotrk kiasi ukiangalia salio inasema no...
Mimi ni mpenz wa iphone na ios yake, lakini kama mnavyojua ios ina limitation nyingi sana na ndiyo maana watu wanaopenda tweaks wana prefer android.
Ila kwa watumiaji wa ios ukijailbreak device...
Naona wadau wengi wana matatizo ya software ya huawei hivyo basi nimeona nishare na watu idea kadhaa za kusolve hizi problems.
Kwanza itabidi udownload correct firmware ya model yako kisha...
habari wana jamvi!! simu yangu ya Samsung s4 ilianguka na bahati mbaya ikaharibika camera yaan screen yake imevunjika kwaiyo nikipiga picha inatoka kama ina ukungu!! Kwaiyo nilikua naomba ushari...
Startimes wametoa application yao inayoitwa tenbre play kwa watumiaji wa smartphone za android .Application hii inakuwezesha Kufanya mabo yafuatayo
1.Kufanya malipo online
2.Kubadirisha...
Habari wadau..
naombeni mnisaidie kati ya IPHONE 6 PLUS na NOTE 4 ni simu gani nichukue.!!
Nahitaji simu yenye kukaa na chaji mda mrefu,itakayodumu,internet ya faster na camera nzuri sana,zote...
Habari ya kazi wadau. mimi kuna software moja ya kumanage website inaitwa webmin. inafanya kazi kwenye linux environment sasa nataka nitumie kwenye window environment.. shida ni kama ifuatavyo
kwa...
Habari zenu..hope mko poa..
nimenunua tv inch 55..but tatizo lake nikiconnect kingamuzi chochote picha inatoka black and white ..yaani haitoi rangi.
But nikiconnect dvd ya singsung..nikiset to...
Jinsi ya kujipatia kipato kwa kutumia blog
Awali ya yote napenda kuwashukuru wote mliochangia mada yangu ya kwanza kwa kunishauri vizuri.. Leo napenda kabla ya kuendelea mbali kwenyed kudesign...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.