Mars Rover
JF-Expert Member
- Apr 27, 2012
- 338
- 140
Hii imekua around kwa muda mrefu sana huku ikijichukulia umaarufu kwa watu wengi kiasi cha watu kuondoa Kaspersky Antivirus ili kuiruhusu SMADAV kufanya kazi kwenye PC zao.
Mbaya zaidi kuna baadhi ya watu wanakua na "Antivirus" zaidi ya moja kwenye PC moja, hii ni mbaya sana kwa usalama wa files zako, na performance ya PC yako..
UPANDE WA PERFORMANCE
Security Applications zote zinafanya kazi ya kuilinda PC yako kwa kuwa active muda wote (background process) na uhitaji processor, RAM na Disk ili kuweza kufanikisha swala la ulinzi, sasa basi pale unapokua na Applications za security zaidi ya moja ndivyo unavyozidi kupoteza system performance ya PC yako..
UPANDE WA USALAMA WA FILES ZAKO
Hii "SMADAV Antivirus" imewapotosha wengi kiasi cha kupoteza document muhimu kwenye flash drive, external hard drive na ata Internal Hard drive zao..
Sifa ya Antivirus nzuri ni kupata Database updates mara kwa mara, uwezo wa kukuonya pale unapoingia kwenye website batili au yenye madhara kwa computer yako.
Kwa SMADAV Antivirus hili lipo kinyume kabisa na Application hii haina features kamilifu za kupambana na malware maarufu kama vbs, au malicious batch files, inachokifanya ni kufanya scanning ya USB Hard Drive yeyote inayokuwa imewekwa kwenye PC husika, na scanning hii haina uimara wa kugundua malware za aina nyingi cha zaidi itakuletea report ya Autorun.inf ambayo wakati mwingine ni executable file zinazokuwepo kwenye baadhi ya flash drives kwa ajili ya Autoplay..
Mbali na hapo SMADAV Antivirus haifanyi direct registration kwenye registry ya PC yako, na pia haipo kwenye list za installed Applications hii ni hatari kwa sababu inamaanisha kuwa SMADAV haijawa certified na Microsoft kama trusted software vendor. Pia size ya hii SMADAV haifiki ata 20MB na unistall process yake inachukua dakika chache sana kama siyo sekunde..
Hivyo basi wakuu wangu ambao mnatumia SMADAV kama Antivirus za PC zenu mziondoe na kuweka Antivirus zinazoaminika na zilizolipiwa nikiaamanisha achana na free Antivirus applications kwa sababu functionality zake zinakuwa chache sana mfano kushindwa kuscan ZIP files au kuchuja website na webpages ambazo ni mbaya(dhuru) kwa PC yako..
Antivirus ninazopendekeza
1. Kaspersky Antivirus au Kaspersky Internet Security
2. Premium AVG
3. Bitdefender
4. Premium Avast Antivirus
5. Norton Antivirus au Internet Security (Premium)
*Premium license inapatiana kwa kununua
*Usidownload product key za Antivirus kutoka kwenye torrent site.
Pamoja Sana Wakuu