Motorola wazindua moto G na moto X 3rd generation

Motorola wazindua moto G na moto X 3rd generation

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Posts
32,230
Reaction score
44,262
Leo motorola wamezindua simu hizo hapo juu. Kama unavyojua hapa jamiiforums tunairecomend sana moto g kama simu nzuri ya midrange 300,000 hadi 500,000. Hebu tuangalie hii simu mpya ya moto g ni nzuri kama wenzake waliotangulia?

Moto-G-2015.jpg

specification
-kioo inch 5 cha HD 720x1280
-ram 2gb au 1gb
-internal 8gb au 16gb
-processor snapdragon 410 quadcore cortex a53
-camera ya nyuma 13mp na mbele 5mp
-battery 2470mah
bei
Version ya 8gb na 1gb ram ni dola 180 na version ya 16gb na 2gb ram ni dola 220.

Kibongo bongo kama itakuja itakuwa around 450,000 hadi 550,000 hv ukieka na kodi.

Mnaonaje wadau still motorola moto g ni simu bora kwenye range hio ya bei?

Pia leo motorola wamezindua flagship yao motorola moto x style ambayo inapambana na wakubwa kama galaxy s6, iphone 6 na lg g4.
The-new-Motorola-Moto-X-Style.jpg

specs
-ram 3gb
-internal storgae 32gb au 64gb
-processor sd808
-camera 21mp na mbele 5mp
-battery 3000mah
-kioo 5.7 inches QHD

bei
Hawajatangaza ila tips zinasema itakuwa ni rahisi kwa dola 200 au 300 compare na flagship za makampun mengine.

Hivyo itakuwa ni around dola 300 hadi 400. Kwa huku kwetu huenda itakuwa around 800,000 hadi 900,000

Je unaonaje moto x amempiga bao oneplus kwa flaghip ya bei nafuu?
 
I think the style is a likely match up for the 1+2. Having said that, i was disappointed with Moto this time. I am looking for a second phone(work told me to choose whichever i want) and i thought the new moto x would be it, turned out to be not what i wanted.

The lack of an SD card reader, Bigger battery capacity, Snapdragon 810 process, USB type C, Qi charging and removable battery was and will always be a deal breaker in this day and age. The phone looks good, but that wasn't the selling factor for me. Now the Moto G on the other hand is great. I'll by that for my mom. She has the 3rd gen Moto G.
 
mwaka huu ni mbaya sana kwa watu wanaotumia simu ambazo sio apple au samsung. hio sd810 inge overheat wengine wangelalamika pia. ila atleast motorola wameliona hili hivyo wataiuza bei rahisi.

kuna moto x play ya ukweli sijaiandika hapa sababu ni version ya USA tu. kwa dola 300 unapata display 5.5" 1080p, processor sd615, 20mp camera, 3600mah battery, 2gb ram, 32gb internal, sd card, lte etc. kama unataka backup hii ni nzuri zaidi ya x style
 
Ur right. Hata mimi nilisahau kusema kuhusu X PLAY. I think ile ni nzuri. I think kwa simu sasa 1080p is more than enough. unless manufactures wacome up with innovative screens i don't think anything over 1080p at such a small screen will make a difference. Lakini hata with the play, kwanini hawakuweka Fingerpring scanner? Specially with Android Pay (Android M) coming in the fall? The camera though is a good selling point. Though disappointing kwamba haina OIS.
 
Mi sio mpenzi wa Android ila hii flagship wameitendea haki. Imebalance hasa kwenye bei. Otherwise, haya makampuni ya simu yaje na vitu perculiar kwenye simu. Sio ukimuona mwenzako ameweka ram ya 1 gb wewe unaweka 2 gb.
Appearance matters alot:
 
Back
Top Bottom