nawezaje kudownload miziki ktk cm yangu

nawezaje kudownload miziki ktk cm yangu

Jannet eleza ni aina gani ya simu unayotumia na ni miziki ya audio au video?
 
Last edited by a moderator:
Nimekosea ni huawei mkuu

Mkuu mbona easy.. Tumia brower yoyote iliyoko kwenye simu ako,, kama ni operamini... Then ingia google,, type jina la msanii na wimbo kama ni audio lakini,, (mfano:: diamomd platnum ft flavour _ nana mp3)
Watakuletea results, hapo kwazi kwako kuchagua sites,, bt kama ni video download hii app inaitwa tubemate,, m huwa nafanya hivi na sijawahi kukosa wimbo.. Sijui wengine
 
ingia kwenye browser yako type tubidy.com utakutana na sehem ya kusearch, tafuta wimbo wowote ule wa nchi yoyote ile hutaukosa then ukija utapewa option ya kudownload chochote katika uo wimbo, iwe video, mp3, mp4 etc. download and enjoy.
 
Nokia lumia natakakudownlod video nifanyeje
 
Ingia play store download App inaitwa Download mp3 icon yake ipo kama box la kijani inamshale mweupe unaoelekea chini.
Au bofya Download Mp3
Kama simu yako ni Android.
 
ingia kwenye browser yako type tubidy.com utakutana na sehem ya kusearch, tafuta wimbo wowote ule wa nchi yoyote ile hutaukosa then ukija utapewa option ya kudownload chochote katika uo wimbo, iwe video, mp3, mp4 etc. download and enjoy.

mimi nimejaribu kupata miziki napata majibu haya ( a link is not available)naomba maujanja
 
Back
Top Bottom