Wakuu.. hope ni salama..
Nimejaribu kuangalia baadhi ya vyuo marekani kwa ajili ya kufanyia M.Sc. CS ambavyo vitakuwa affordable kwa ajili ya kujilipia mwenyewe, so far nimeona kimoja ambacho ni...
Kama umedownload application yako nje ya play store na ukataka ku install kwenye android phone fuata utaratibu ufuatao.
1. iweke application yako kwenye route directory (naamisha usiweke ndani ya...
naombeni msaada kwa anayeweza kunisaidi, nataka kuripia whatsApp ila shida yanu sina bank account inayoruhusu maripo ya online , mwenye kujua jinsi ninavyoweza kufanikisha hili ntashukuru sana
Baada ya WhatsApp kununuliwa na Facebook waliamua kufanya mabadiliko mbalimbali yakihusisha kuzuia apps za aina hizi ambazo si rasmi zishindwe kufanya kazi. Moja ya hatua waliyoweza kuifanya miezi...
Habarini waungwana wadau wa JF hasa jukwaa hili
Mwenzenu blog/site yangu haiko hewan kwa ghafla tu na sijui tatizo ni nini, nikifungua inaniambia account suspended
hapo mwanzo nilikuwa na adsense...
baada ya kuroot simu yangu nikafuta divice manager,google play services,radio na file manager sasa nimeunroot simu nimeshdwa kuvirejesha naomba msaada kwa anayejua nimejaribu kurecover napo chenga
Jamani naombeni msaada wenu,nataka niwe naangalia tv live kama TBC1,clouds tv na nyinginezo kwakutumia simu yangu ya android.
Natumia Tecno Boom J7
Msaada wenu tafadhali
Kwanza kabisa ,Laptop yang, imebadilika ghafla,, kwanza niki double click ku open file file linafunguka as nime click properties mfano niki click my compyuta inaniletea properties zake, mafail...
Habari waungwana msaada juu ya colour code za conductors ktk ceiling fan nimekuta hili lina Green,Brown na Red je ipi ni phase kati ya Brown na Red nimeconfuse manual guide haipo course...
Nahtaj kudownd stock rom kwa sim then nikatumie pc kuflashia sim je inawezekana?
Then kwann ninapo download zip file wamasema Google Drive cannot scan for viruses..... Continue anyway? Nikesema...
Nina pc ya ACER ASPIRE E51-511-C6G7 nimepiga windows chini kama mara 3... Mwanzo ilikua ni 64 bit ila baada ya kuipiga windows mara ya 3 ikawa 32 bit...Changes zikabadilika kwenye baadhi ya...
Hello Guys!
kuna yeyeto ametumia hii simu, nimeipenda review yake hofu niliyonayo kama itasupport mitandao ya Hapa TZ, though naelewa kuhusu unlocked phones. Na bado itasupport 4g network as...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.