Naomba kuuliza humu wataalamu kwamba nani ana sim card ya tigo 4G halafu anaipata hiyo 4G? Je unatumia simu aina gani? Na upo maeneo gani? Naomba kujua ili nielewe tatizo lipo wapi na simu yangu...
Kwa anayefaham maana halis ya VPN na matumizi yake kwenye cm naomba anijuze jaman ili kama inafaida yeyote niweze kuitumia na mm! chief mkwawa na wataalam wengine wa it tunaomba mtujuze na ni kwa...
Wakuu, nahitaji msaada kwa yeyote anayejua software inayoweza kunisaidia kubadili lugha ya kingereza kwenda kiswahili pindi mtu anaoandika au kusoma maandishi kwa kiingereza.
Nitashukru ikiwa...
Wakuu nilikuwa na maswali kadhaa ambayo naimani hapa jamvini kuna wajuzi ambao wana majibu na elimu ya kutosha juu ya maswali yangu.
Kutokana na sasa hivi dunia imekuwa ya kitechnolojia zaidi...
Habari wakuu,
Napenda niende moja kwa moja ktk mada husika kama inavyojieleza hapo juu. Nataka niingie ktk internet ya 4G kupitia moderm lkn nina upeo mdogo ktk kujua mtandao gani utanifaa...
Jamani nimeibiwa simu yangu aina ya HTC M7 na niliitunza imei yake, kwa anaeweza kunisaidia jinsi ya kuipata naomba anielekeze, nimeambiwa inawezekana kupatikana kwa kutumia imei namba yake
Habari za kazi wakuu!
Kuna kazi nilikuwa naiandika kwenye komputa, nilikuwa naisave kwenye flash so haikuwa na backup file lolote. Kuna wakati nikazima pc ili baadaye nije kuendelea na kuandika...
Simu yangu ni VODAFONE VF 685, Baada ya kuweka rom mpya kwenye hii simu yangu, imekuwa ikishindwa kuunga 3G pia nikipiga simu haisikiki mpaka niweke loudspeaker, nawaomba wadau wa haya mambo kama...
Jamani naomba msaada cm yng Aina ya Techno inaonyesha ninapo kuwa na chomeka chaji inaonyesha inachaji ila haiongezeki chaji system chaji yk nimeicheki iko poa kbisa wale...
Wanajamvi naomba msaana kwa mwenye njia nzuri itakayoniwezesha kuroot hii simu yangu nimeshatumia njia kama kingoroot,iroot,king root lakini zote zimeshindwa kwa mwenye uelewa wa software au njia...
hey great thinker mada kama inavyojieleza hapo juu.
NATUMIA MOJA YA SMARTPHONE HUWA KUNA TATIZO LINATOKEA PALE NINAPOHITAJI KUCOPY MUSIC KWENDA KWENY ADROID ISIPOKUWA KWA IPHONE AMBAYO ITUNES...
Ndugu wana jamii forum naomba mnisaidie wenye kujua ,nahitaji simu nzuri kati ya tecno j7, L6 na sumsung Galax s3, IPI ni nzuri na je sumsung galaxs3 nitapateje original ama origino ntaijuaje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.