Qsat powervu msaada wa kuweka keys

Qsat powervu msaada wa kuweka keys

cheppe

Senior Member
Joined
Sep 29, 2013
Posts
157
Reaction score
13
Kwa ambae anajua kuweka powervu key kwenye hiyo qsat receiver anisaidie tafadhali
 
Ndugu cheppe, hakuna sabau ya kuweka power vu key manually fuata hatua zifuatazo.

STEP 1: Update receiver yako kwa kutumia moja hizi file Q26G au Q28G

STEP 2: Enable auto_update ya PowerVu key kwenye QSAT yako kwa kubonyeza kwenye remote Menu > multi media >Enter 1506

STEP 3: Fungua channel yeyote na itafunguka
 
Last edited by a moderator:
cccam na spycam zipo hewan kwa sababu kwangu zimekata ss hivi nina wiki moja hazioneshi
 
Ndugu cheppe, hakuna sabau ya kuweka power vu key manually fuata hatua zifuatazo.

STEP 1: Update receiver yako kwa kutumia moja hizi file Q26G au Q28G

STEP 2: Enable auto_update ya PowerVu key kwenye QSAT yako kwa kubonyeza kwenye remote Menu > multi media >Enter 1506

STEP 3: Fungua channel yeyote na itafunguka

Mwl.RCT naomba msaada wa kuweka powervu key kwenye decoda ya Gfretek min HD.
 
Last edited by a moderator:
nime factor reset decode ya speed hd 1 so account yangu ya cccam imepotea nafanyaje ili niweze kuirudisha
 
Hakuna jinsi ya kuweza kuirudisha. Ulipaswa kuwa umeandika mahala.
 
Dowmload PowerVu SOFTCAM file kwa ajili ya Q26 & Q28 hapa.
Code:
 www.v.ht/q2628
 
Mwalimu RCT. Ni channel gani hasa zinapatikana hapo kwenye powerVu?
 
Last edited by a moderator:
Ndugu cheppe, hakuna sabau ya kuweka power vu key manually fuata hatua zifuatazo.

STEP 1: Update receiver yako kwa kutumia moja hizi file Q26G au Q28G

STEP 2: Enable auto_update ya PowerVu key kwenye QSAT yako kwa kubonyeza kwenye remote Menu > multi media >Enter 1506

STEP 3: Fungua channel yeyote na itafunguka

Hii njia km vile haikubali kwa q26
 
Last edited by a moderator:
Nasemea powervu option kwa q26 haiji ili kuweza kuweka key maana kuna channel km HD Sport 24 inatakiwa key kuwekwa manually
 
Mwl.RCT naomba kujua ni akaunti gani inafanya vizuri ktk Q11G pamoja na gharama zake.Msaada
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom