Habari wana jamiiforum naomba nisaidiwe kwa yeyote mwenye ujuzi na jambo hili, simu yangu ni 'SONY Xperia v3+' ina 4gb internal storage' tatizo ni kwamba nikidownload apps inadownloadika lakin wakati wa kuinstall inagoma inaniandikia 'insufficient storage is available' natanguliza shukran