Microsoft- -Lumia 950 XL

Microsoft- -Lumia 950 XL

Paa

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2015
Posts
1,462
Reaction score
2,940
Wapendwa hii simu imeshafika kwenye maduka yetu hapa jijini..?

Maana ina specs nzuri na bei pia kulinganisha na kina iphone&samsung

Nataka nijpange niivute...Ahsanteni.
Microsoft-Lumia-950-XL.jpg
 
Wapendwa hii simu imeshafika kwenye maduka yetu hapa jijini..?

Maana ina specs nzuri na bei pia kulinganisha na kina iphone&samsung

Nataka nijpange niivute...Ahsanteni.
Microsoft-Lumia-950-XL.jpg

Bado

Hajjmakwato
 
Back
Top Bottom