Msaada.

Msaada.

milliondollar

Member
Joined
Nov 25, 2015
Posts
18
Reaction score
5
Wakuu naomba msaada nina simu aina ya samsung galaxy note 1 ,ina tatizo la kujizima pindi tu inapokaribia kuisha chaji halafu hainialert inakua kama na vimulimuli af inazima.pia nikiiacha usiku hata kama inachaji asubuhi nakuta imezima.please mwenye kujua tatizo anisaidie.
 
Kuna mambo 2 ,itakuwa battery mbovu (imeisha) au ina virus
 
Back
Top Bottom