teetotaller
JF-Expert Member
- Dec 16, 2014
- 317
- 214
Habarini za asubuhi.....naomba msaada kwa simu Yang tajwa hapo ikubali kutumia vifurushi vya kawaida vya MB na sio vya blackberry pekee
Ingia kwenye option(setting)>device>Advance System Settings>TCP IP>
Then enable APN(Access Point Name)
APN andika internet
Then save and close
so ili kuactivate ianze kutumia bando la kawaida itabidi ujiunge kifure cha blackberry,then kiisha baada ya hapo utaweza kutumia bando la
kawaida.Mm natumia bb curve 9320 na now natumia bando la kawaida,na km ukikwama ni PM
Native browser haitapiga mzigo kwa njia hiyo mpaka uweke opera ndiyo inakubali.