Ninunue Nokia Lumia Ipi?

Ninunue Nokia Lumia Ipi?

hopenality

Member
Joined
Aug 4, 2015
Posts
15
Reaction score
3
Msaada Wadau Naskia Hizi Window Phone zinatabia ya kushindwa kudisplay menu za Mpesa Tigo pesa au hata kifurushi sasa wana jamvi mnanisaidiaje ili nisinunue Lumia ya namna hiyo Msaada Jamani
 
Si kweli, ni baadhi. Nasikia W7 ndio zinatabia hizo, mi nina W8 ipo poa tu
 
Lumia zote zinazoishia na 20 i.e 920,620, 950, etc kwenda juu zinapiga menu za Mpesa bila shida kwa kuwa hizi zina Windows Phone 8 na kwenda juu.

Lumia zinazoishia na 10 i.e 510,610 na kushuka chini ndo avoid kabisa, hizi zina WP 7 ambayo haiwezi kufanya USSD menus.
 
na vipi lumia 535 nayo iko poa? nataka kuvuta this weekend
 
Lumia zote zinazoishia na 20 i.e 920,620, 950, etc kwenda juu zinapiga menu za Mpesa bila shida kwa kuwa hizi zina Windows Phone 8 na kwenda juu.

Lumia zinazoishia na 10 i.e 510,610 na kushuka chini ndo avoid kabisa, hizi zina WP 7 ambayo haiwezi kufanya USSD menus.

mkuu Kwa maana Hiyo Basi Inabidi Nivute Lumia W8
 
Back
Top Bottom