Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Nina ultrasound model BU-908 kila nikijaribu kuprint inaonyesha U-disk not ready, tatizo nini na naweza kulitatua vipi mwenye no. Ya fundi naomba Ahsanteni
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu msaada anaeweza kuitoa adobe air kwenye android, bn using lucky patcher, nmefix monkey test na time service ila hii ni issue, Help Wakuu
0 Reactions
0 Replies
726 Views
Wakuu nimefanikiwa kuroot simu yangu tecno h6 kwa sasa naweza kubadili font xa maandishi niipendayo ila shida yangu nataka kubadili pia muonekano wa pale juu kwenye battery saa na bars za network...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu, naomba kufahamu bei ya screen ya Nokia XL kwa anayefahamu. Screen ya simu yangu imevunjika. Nitashukuru kwa msaada wenu.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Smartphone yangu wakati nafanya video recording, video uwa ni ya dakika chache lakini MB huwa zinakuwa nyingi hii huwa inatokana na nini na hamna application ya kupunguza hizi MB.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Natafata chuo Kizuri Kwa Fani hiyo .Nina Level 3. Naombeni Ushauri wenu wadau. veta Kigoma na tanga .Kwa WaLio Soma wani juze.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu nina HTC yangu wakati naifanyia factory reset ilikuwa imeingia virus kwa bahati mbaya ikajifuta OS so nikijaribu ku reboot inaniandikia No OS Installed! Are you sure you wish to reboot? sasa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nilishatumia samsung S4 miezi kadhaa iliyopita, right now natumia samsung galaxy E7, But i just want to test ladha ya hizi samsung note.. Nataka kuagiza note 3 soon.. Wataalamu naomba...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wasalaam Wakuu, Katika simu yangu ya android kuna tatizo limenikumba leo, kuna app nimeweka lakini baadaye nikaona imesababisba kutokea mara kwa mara matangazo. Nilipotaka kuiondoa ikagoma...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mambo vip waungwana natumai kichwa cha habari chatosha kabisa natafuta hiyo kitu hapo juu yyte ambaye anayeweza nisaidia ani pm ili tufanyr biashara wandugu
0 Reactions
0 Replies
859 Views
Viwa max 5 used + flip cover, inauzwa kwa 180,000/- ipo kwnye hali nzuri. Ina 13mp primary camera, 5 mp secondary camera 5gb internal memory 1Gb of Ram Ishafanyiwa root.. Atakaye ihitaji...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naombeni kujua uwezo wa simu hii kwa anaezifahamu vizuri
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Katka pita pita ya mtandaoni Nimekutana ma hili Dark Web nikajaribu kuipitia nikaelewa yafuatayo; *Kuna fanyika biashara za magendo kupitia mtandao. *Ni ngumu kuielwa kwa mtu tu wa kawaida...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za mchana huu wadau? Kama heading inavyojieleza hapo juu. Nina Lumia 535 dual SIM ina windows 8.1 na iko vizuri sana tu. Tangu niinunue na kufanya first configuration Cortana imekuwa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Guys nahitaji msaada. Pc yangu Inaweza blue.. Na kuandika maneno haya HARD WARE MULFANCTION...... Naombeni msaada jaman
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Ni ipi apps nzuri ya kupakua nyimbo?Asante
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu iphone 6 plus yangu imepotea katika mazingira ya kutatanisha Rangi ya Gold na ina crack kwenye screen Ni ngumu kuitumia sababu ina password kabla hujaingia Kwa vyovyote itakua...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomben,mnieleze jinsi ya kudownload movies kama unavyodownload na android katika kikass torrent,apps kama hii iphone unapataje wakuu,maake najiuliza ipi ninunue kati ya not5 na iphone,iphone...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Msaada ningependa kufahamu hatua za kuweza kutumia kingamuzi cha ndani ya tv(samsung UA32J4003),kuweza kuset frequency na kuaccess local na international channels
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Msaada please!! Nina HP pavilion x360 ilikuja na window 8.1.... 64byt. Nikaamua kupiga chini window ili nifanye partition maana haikua na partition. Nikatumia window10 kutimiza hitaji langu...
0 Reactions
1 Replies
842 Views
Back
Top Bottom