Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari zenu wana JF!!! Ni website gani naweza kudownload free window xp professional
0 Reactions
2 Replies
1K Views
ninatumia Tecno p5 ina tatizo moja . Kuna wakati nikitaka kutumia yanatokea matangzo mengi mara install hiki bas ni shida. Mpaka nashindwa kuitumia wakati mwingne ina stack. Nifanyeje irudi...
0 Reactions
29 Replies
5K Views
Validity Volume Price Daily 1.2GB 600 Weekly...
1 Reactions
70 Replies
20K Views
Mwenye kufahamu namna ya kuweka games ndani ya Ps3 super slim ya kufunuka juu anisaidie na namna ya kuzidownload games
0 Reactions
3 Replies
1K Views
habari zenu nyoote! kwa mujibu wa kichwa cha habari hapo juu;Nahisi kuna tatizo ktk settings za kompyuta\laptop. Ni kwamba MEGABYTES zinawai kuisha fasta,naomben msaada wa kiufundi. Chief-Mkwawa
0 Reactions
8 Replies
2K Views
wandugu nahitaji baadhi ya icon zisionekane nikifungua menu yangu so naomba mnijuze app ya kufanyia hivyo kama ipo kwa device ya android, maana huyu janja yeye akishika tu anakimbilia kwenye game...
0 Reactions
3 Replies
778 Views
Tafadhali mwenye kujua namna ya kufanya settings ya internet ya halotel anipe maarifa kidogo. ahsante.
0 Reactions
14 Replies
22K Views
Habari za wakati huu wana JF. Maeneo mengi nchini Tanzania kwa sasa mvua zinanyesha na jijini Dar es salaam zinategemewa kuanza hivi karibuni. Tumerahisisha maisha yako na kukufanya usitumie muda...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Poleni na majukum wana Jf. Nina Dell e1505 nikiiwasha sreen yake inakua giza kiasi kwamba icone zinaonekana kwa mbali, aidha hadi niimulike screen na tochi ndio ninaziona icone. Nimeongeza...
0 Reactions
0 Replies
726 Views
Wakuu poleni na majukumu ya hapa na pale, Naomba msaada kwa mwenye ujuzi laptop yangu aina ya dell, imekata sauti gafla nashindwa kuelewa tatizo limetokana na nini. Msaada tafadhali
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nauza iphone 6 mpya GB 64 bei 1.2 M kwa mawasiliano whatsApp/call 0714889836
0 Reactions
0 Replies
722 Views
Naomba kusaidiwa kutatua tatizo la simu yangu baada ya Ku root niliweza kufuta baadhi ya file za simu. Hivyo nimeshindwa kuingia play store na kuonesha ujumbe kwamba unfortunately Google play...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habarini wakuu.. Samahani kwa usumbufu, Naomba mwenye uelewa kuhusu hiyo wanayoita ku"root" simu. *Nini inamaanishwa watu wanaposema wana root simu, ie. nini Hasa maana yake halisi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
jaman jukwaa mwenye kujua frequency mpya za channel ten anipatie maana siwapati kabisa Natanguliza shukrani
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wanajamvi? nauliza kwa wataalamu wa madini eti kuna dhahabu nyeusi.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wana JF nawaombeni mnisaidie frequency mpya za Channel Ten na ITV. Ahsanteni.
0 Reactions
11 Replies
14K Views
Jamani naomba msaada wa software ya risiva yangu strong mpeg4 4669xii kwani ilikuwa mpeg4 na sasa imekuwa mpeg2. Tena imekuwa haipachi bss key wala haisapoti dongle. Msaada tafadhali wanajf
0 Reactions
27 Replies
8K Views
Habary, naomba mnisaidie jinsi ya kuunganisha na internent sim yangu samsung note 3 kupitia vodacom nimewapigia voda wanasema sim yang ni clonic/ copy sio orignal wakantumia manual bt still...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Imenitokea, smartphone zote zinazotangazwa katika Tigo smartphone gulio huwa na sehemu ya chip (line) 2, lakini kama ulikuwa ukidhani kuwa utaweza kutumia laini 2 za mitandao tofauti mfano Tigo na...
8 Reactions
114 Replies
45K Views
Jamani wana JF naomba msaada wenu simu yangu kila nikizima data zinajiwasha au kuna nashindwa kuelewa tatizo nini?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom