Nahitaji kuongeza urefu webcam yangu?

Nahitaji kuongeza urefu webcam yangu?

Jindal Singh

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2015
Posts
1,857
Reaction score
1,543
Wakubwa

Nilikuwa nahitaji kuongeza urefu wa webcam yangu ili niweze kutoa nje ya nyumba kwa ajili ya usalama, katika kuangalia specification za usb cable nitakutana na hivi vitu USB repeater/extender na UTP cable ambavyo ndio vinavyohusika katika kuongeza urefu. Sasa naweza pata USB repeater iliyo na mita kuanzia 5 na kuendelea USB hub siitaki kwani huwaga fupi.
 
Wadau japo hamjanipa sapoti lakini hii issue nimefanikiwa na sasa full monitoring my home,full 24 cctv camera na pia na stream nyumba yangu kwa kutumia my android.
 
Ingekuwa Vizur Kama Ungetoa Hyo Elimu Kwa Wengine Pia
 
Issue ni ndogo sana. Mimi ninayo usb webcam ya log tech 1metre then nikatafuta usb hub 2.0 high speed, kisha nikaenda pale karia koo nikanunua UTP cable cable fulani ambazo zipo kama usb ndani zina waya nne na nikanunua usb extension kisha nikaunganisha zile waya na kupata urefu wa kama 5m ambayo kwangu inatosha na kutoa nje ya home, then nikadownload ivideon server ktk pc nika add account na kustream live ila hii issue unahitaji utundu mtu usiwe mvivu mvivu.
 
Asante ila wengi bado tupo hewani katika hili....naweza kupata darasa zaidi kutoks kwako?
 
Back
Top Bottom