Q quincyj New Member Nov 22, 2015 1 0 Nov 26, 2015 #1 Naomba msaada wa ku boot window 7 katika laptop Toshiba satellite C850-F01N maana kila nikipress F12 ni boot inagoma..naombeni mawazo yenu tafadhali
Naomba msaada wa ku boot window 7 katika laptop Toshiba satellite C850-F01N maana kila nikipress F12 ni boot inagoma..naombeni mawazo yenu tafadhali