Habar zenu Wakuu!!
Ni takriban wiki sasa tangu king'amuzi cha Azam kigome kuonyesha channel. Yaani iko hiv nikiwasha king'amuzi kinaleta channel list automatically then zinajirusha zenyewe bila...
Naitwa aurelio chelestino mofuga. Nimehitimu kidato cha nne katika shule ya sekondari kitwiru ya iringa mjini. Nilipokuwa kidato cha tatu nilitengeneza system ya kompyuta kwa ajili ya kusomea...
Amani Iwe Juu yenu wakuu,
I have developed a MATALAB GUI by GUIDE method and I want to deploy it into web page.
It has been difficult for me despite of reading different articles.
Now Am looking...
Na Amani ya bwana iwe pamoja nanyi, mie naomba msaada wa kuambiwa hata jina la software na upatikanaji wake. Hiyo software iwe na uwezo wa kufanya yafuatayo kutoa taarifa za mauzo ya siku...
We are looking for someone with good knowledge on either CakePHP or Yii PHP. We have one month project, if you are the right person and interested on this please contact us through...
Wanajukwaa niwiki moja toka sm yangu ianze kushindwa kuifadhi Apps, ninapo kwenda kwenye play store nina sarch vizuri taab ni kuhifadhi inatafuta kwa mudamrefu mpaka nachoka, Lingine nikuwa App ya...
Wadau nina mtandao wa kijamii unaoitwa Tanz-a-n-i-an\'s Social Network - Welcome to our free social network natafuta partener ambaye tunaweza Fanya kazi pamoja ili kuufanya uwe maarufu,huu mtandao...
Habari zenu nyote, nimekuja nikiomba kuuliza kwa hapa TANZANIA hasa DAR ES SALAAM ni wapi wanauza Playstation 4 na games zake pia.
natanguliza shukrani.
Ikiwa utanishauri niagize toka ebay/amazon...
just got a used lenovo t500, when I switch it on I get two beeps and the following message:
ERROR
Resource Conflict - PCI in slot 07
Bus:15, Device :00, Function:00
ERROR
Resource Conflict -...
Habari wanajanvi,
Nina ultrasound model BU-908, kila nijaribu kuprinti inaleta message ya U-disk not ready. Mwanzoni ilikuwa inaprint vizuri tu ,Naomba msaa wenu jamani nimekwama
Ahsanten
Wanajf Salaam!!
Ninataka kununua laptop Hp nina kiasi cha Tsh 600,000/=. Je, kwa bei hiyo ninaweza kupata HP laptop Brand new?
Pamoja na kazi ndogo ndogo za typing pia mimi ni msomaji sana...
wakuu playstore imegoma kufunguka Kwa simu yangu s4. ..inaniandikia connections time out. .wakati internet inafunguka na iko 3G
Ni mpya naomba msaada wenu plz
hii simu ni mpya...nimeitumia kama wiki moja tu, lakini inanipa notification ya software update...niki update kuna madhara yeyote na weza pata? Pia naomba kujua kama simu hii ina support 4G...
Nina ultrasound model BU-908 kila nikijaribu kuprint inaonyesha U-disk not ready, tatizo nini na naweza kulitatua vipi mwenye no. Ya fundi naomba
Ahsanteni
Wakuu nimefanikiwa kuroot simu yangu tecno h6 kwa sasa naweza kubadili font xa maandishi niipendayo ila shida yangu nataka kubadili pia muonekano wa pale juu kwenye battery saa na bars za network...
Smartphone yangu wakati nafanya video recording, video uwa ni ya dakika chache lakini MB huwa zinakuwa nyingi hii huwa inatokana na nini na hamna application ya kupunguza hizi MB.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.