text - maandishi
speech - matamshi
text to speech software inayobadilisha maandishi kua matamshi, maana yake unaweza weka maandishi ikakusomea kwa sauti.
Mpende sana google, kuna knowledge nyingi sana zaidi ya unavofikiria. Kuna bahari ya knowledge iko mbele yako ni wewe tu kuzama kwa kuandika tu na kuclick basi, unakua smarter na smarter every day.