Toyota Avensis Wagon, Je ni imara?

Toyota Avensis Wagon, Je ni imara?

babalao 2

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
5,426
Reaction score
3,308
1448564393557.jpg

Wakuu habarin woote!!

Naomba kwa wataalamu wa Magari je Toyota Avensis Wagon ni gari imara kwa matumizi ya hapa na pale kwa maisha yetu ya kila Siku?
Mwenye uzoefu au kutumia atujuze kidogo juu ya huu mchuma.
Ahsanten sana.
 
kila gari lililotengenezwa kiwandani linahimili mikikimikiki ya barabarani, kuwa gari ipi bomba ni wewe tu mtumiaji na njia unayoendeshea ikoje,
 
Avensis ni moja Katika gari imara na bora kwa Europe, sijui kwa Model zinazotoka moja kwa moja Japan, kwani zinatofautiana na za Europe
 
Avensis ni moja Katika gari imara na bora kwa Europe, sijui kwa Model zinazotoka moja kwa moja Japan, kwani zinatofautiana na za Europe

Hzo za Europe kwa Tz barabara mchanganyiko zinahimili?
 
Back
Top Bottom