Habari Wana jf naomba Masada wa jinsi ya kujiunga na mtandao wa net wa halotel, naishi kijijini mkoa wa kigoma nimesajili line ya halotel kweli mtandao uko vzr Sasa nimejaribu kujiunga na mtandao wa internate haiku Bali, 3g,wala2g. Nakosea wapi. Simu yangu ni l6 tecno. Voda nikiweka I ashika vzr 2g hamna 3g Voda ila halotel inagoma