Wanatech., ni simu gani inayotumia os mbili tofauti mfano Window & Android kwa wakati mmoja kama ambavyo baadhi ya pc huwa zinakuwa na os mbili ambapo wakati wa kuwasha inakupa option ya kuchagua...
Wakuu,nina simu ambayo ina uwezo wa kusapot 32GB,sasa nataka kununua angalau ya 4GB, 8GB,16GB hadi 32GB.Nisaidieni ni brand ipi ni bora,nisipate feki nikapoteza fedha bila faida,niambieni na bei...
Husikeni na kichwa cha habari hapo juu nahitaji mwenye uzoefu wa kutengeneza electronics circuits anitengenezee Transmitter and receiver circuits kwa kutumia HT 12E ENCODER AND HT12D...
Habari wadau naomba anaejua jinsi ya ku-unfollow watu ulio wa-follow kwa mara moja..siyo kwa mtu mmoja mmoja..
Anaejua pliz kama kuna app yoyote inaweza fanya hvyo
Heshima kwenu wakuu.
Well, siku zote MGEMA AKISIFIWA TEMBO HULITIA MAJI ili lionekane jingi wakati anaharibu ladha ya hilo TEMBO analolitia maji ili kwake aweze kupata faida bila ya kujali mteja...
Wakuu,huku mitaani kuna mashindano ya kununua simu za bei ghali,Kuna simu bei inalingana na bodaboda,ni simu gani hiyo na inatengezwa na kampuni gani? Naambiwa kwa sasa simu ghali ni iPhone6, ni...
Wakuu nimesikia unaweza request codes za kuunlock sim kwa huawei kwenye mtandao wao, yani kuunlock simu inayotumia mtandao mmoja tu, kwenye ujuzi naomba anieleweshe
1. Hong Kong ? 65.1Mbps
Maintaining its position as the country with the fastest internet Hong Kong is still the no. 1 on the list with peak speed of 65.1Mbps. Although this is 0.9 per cent...
Unakuta mtu amepost Uzi akaweka attachment ya video kila nikifungua huwa haifunguki. Kindly inakupasa simu iwe na program gani kuweza Ku access?
Natumia NOTE 2 na Techno C8.
Msaada ndugu zangu..
Waungwana habari za uhuru/usafi day, kutokana na network zisizoeleweka nimekuwa nikidownload videos kutoka youtube kwa ajili ya kuziangalia ninapopata muda. Nimejaribu kuzitafuta kwenye simu...