Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Husikeni na kichwa cha habari hapo juu nahitaji mwenye uzoefu wa kutengeneza electronics circuits anitengenezee Transmitter and receiver circuits kwa kutumia HT 12E ENCODER AND HT12D...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Vipi kuhusu muungano wa kutengeneza simu kwa nokia kutoa programmes na microsoft kutoa software,je, ni simu gani hiyo waliitengeneza?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
mambo wadau? Nikitaka kuistoo inaniambia. Your device isn't compatible with this version. Nifanyeje?
0 Reactions
2 Replies
927 Views
Habari wadau naomba anaejua jinsi ya ku-unfollow watu ulio wa-follow kwa mara moja..siyo kwa mtu mmoja mmoja.. Anaejua pliz kama kuna app yoyote inaweza fanya hvyo
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Wakuu nielewesheni jinsi ya ku subtittle/ kuingiza maneno katika clip ya video.
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Heshima kwenu wakuu. Well, siku zote MGEMA AKISIFIWA TEMBO HULITIA MAJI ili lionekane jingi wakati anaharibu ladha ya hilo TEMBO analolitia maji ili kwake aweze kupata faida bila ya kujali mteja...
2 Reactions
54 Replies
5K Views
Nahitaji kununua power bank, je ni ipi nzuri, portable zaidi na imara? Pia nataka kununua betri la iphone 5s je ni aina gani lenye ubora? Msaada.
0 Reactions
22 Replies
9K Views
Wakuu,huku mitaani kuna mashindano ya kununua simu za bei ghali,Kuna simu bei inalingana na bodaboda,ni simu gani hiyo na inatengezwa na kampuni gani? Naambiwa kwa sasa simu ghali ni iPhone6, ni...
0 Reactions
29 Replies
7K Views
Wakuu nimesikia unaweza request codes za kuunlock sim kwa huawei kwenye mtandao wao, yani kuunlock simu inayotumia mtandao mmoja tu, kwenye ujuzi naomba anieleweshe
0 Reactions
0 Replies
793 Views
Habari, Simu yangu techno y6 nikiwa naongea hasa nikipiga huwa ina ji mute. Tatizo hili hujitokeza mara kwa mara. Naomba msaada wenu
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu naomba msaada jinsi ya kutengeneza hiyo acount na jinsi inavyo fanya kazi. Natanguliza shukran
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Wakuu application gani ya simu itakayoweza kudetect camera za police? Please help if possible.. Nawasilisha.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
1. Hong Kong ? 65.1Mbps Maintaining its position as the country with the fastest internet Hong Kong is still the no. 1 on the list with peak speed of 65.1Mbps. Although this is 0.9 per cent...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Unakuta mtu amepost Uzi akaweka attachment ya video kila nikifungua huwa haifunguki. Kindly inakupasa simu iwe na program gani kuweza Ku access? Natumia NOTE 2 na Techno C8. Msaada ndugu zangu..
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi kwa kawaida ni developers wa Android applications wana chaji shilingi ngapi kwa general Application ya kawaida tu?
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Waungwana habari za uhuru/usafi day, kutokana na network zisizoeleweka nimekuwa nikidownload videos kutoka youtube kwa ajili ya kuziangalia ninapopata muda. Nimejaribu kuzitafuta kwenye simu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu naomba mnipe ujuzi nawezaje kuangalia tv live kwenye simu bila kupitia intanet?Au kama kuna ipad zenye hiyo app?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Technology company Google has brought reliable Internet connections to Kampala, Uganda. Google is expanding high-speed Internet in the city, the company said. The project includes 120 locations...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari za leo ndugu wana JF poleni na mihangaiko ya maisha, Naombeni msaada wenu external hard disk yangu haisomwi tena kwenye laptop yangu na ikitokea ikasomwa haionyeshi chochote yaani total...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Hamjulikani muda gani mpo LIVE na muda mpo RECORD. Kila wakati mpo live, jambo la jana leo mpo live.
0 Reactions
1 Replies
981 Views
Back
Top Bottom