Nataka kupunguza madishi na ving'amuzi,je ipo teknolojia ya kutumia dish moja na king'amuzi kimoja?,yaani utumie kadi tofauti kama simu,unabadilisha kadi tu.Nipeni elimu wataalam.
Habari wadau. Niende straight kwenye point. Niwaulize kama kuna mtu anajua Kampuni yoyote, Duka lolote, au Mtu binafsi yoyote ambaye anauza simu kwa kulipia kidogo kidogo, hasa kwa mwezi au...
wadau wa JF simu yangu ya tecno imekatika ule mdomo wake ambao charger au usb cable huchomekwa. Dogo alilazimisha kuchaji kwa kutumia chaja ambayo sio sahihi.
Kwa sasa kuchaji simu ni mpaka...
Hii update niliyoipata inagoma kuinstall kwasababu smartphone yangu iko Rooted na ikishaandika update failed ina stuck kwenye bootloop ilinibidi nidownload official stock firmware ndio ikakubali...
Leo katika kujaribu kununua ile daily unlimited ya 1000 nimeshindwa kuipata katika menu, badala yake kuna 500Mb kwa 1000. Ngoja niingie mtaani nikatafute Halotel sasa.
wadau nimeshindwa kabisa kudownload
whatsapp kwenye simu yangu. mwanzoni
ilikuwepo mara wakaniambia kwamba
imefikia ukomo. nilipojaribu kuiupdate
kama walivyosema nikashindwa. mara
nikajikuta...
Heshima kwenu wadau, simu Yangu techno h5 inagoma kuwaka kabisa. Nikichomeka chaji inaniambua select boot mode na options zake chini za recovery, fast boot na normal. Ila power button na volume...
Habari mchana wajuvi?
Nimejaribu kuinstall Kodi kwenye laptop yangu lakini nikii-run inaonesha "ERROR: Unable to create GUI. Exiting."
File hilohilo nimeliweka kwenye desktop inapiga mzigo...
Wadau, habari zenu.
Nimenunua laini ya halotel na ninataka nijiunge na bundle zao
za internet.
Kwa sasa hivi sijui kabisa codes zao za kuomba kujiunga na bundles
za internet.
Naomba mwenye...
Natamani nikiwa kwenye WIFI simu yangu iendelee kucharge Mb ili nibrowse baadae...tech hii ipo? kama haipo hakuna aliyewahi kufikiria hili na kulifanyia kazi?
wadau nimeshindwa kabisa kudownload whatsapp kwenye simu yangu. mwanzoni ilikuwepo mara wakaniambia kwamba imefikia ukomo. nilipojaribu kuiupdate kama walivyosema nikashindwa. mara nikajikuta...
Mara nyingi simu yangu inapoleta noticification ya phone storage space is getting low huwa naclear data baadhi ya application, swali je huwa zinakwenda wapi?
Habari zenu wana jukwaa, i hope mko poa.
Mimi nina tatizo moja simu yangu aina ya techno h6 camera yake imegoma kufanya kazi kila nikienda kwenye camera inaniandikia hivi Can not connect to...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.