Msaada: Wapi nitachapisha sticker za gari?

Natania

JF-Expert Member
Dec 25, 2012
262
217
Habari zenu wakuu,

Ninahitaji kuchapisha stickers kubwa kwa ajili ya kubandika kwenye magari ya biashara ili yawe yanatangaza biashara yangu yawapo barabarani (ni magari madogo mawili yaani Noah na Pajero GDI). Tafadhali kama unaijua kampuni inayofanya hiyo kazi vizuri na kwa bei rafiki kwa Dar es Salaam ama Morogoro tafadhali nishtue.

Natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom