Msaada: Laptop (Toshiba satellite c50-A534) haiwaki

zugimlole

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
2,078
1,352
Natanguliza shukrani
Toshiba satellite c50-A534
Windows 7 professional

Hili tatizo lina kama wiki mbili ivi nadhani limeanza baada ya Windows update .

Kila nikiwasha inakaa kama saa moja au mawili then ndio inawaka.lakin leo toka asubuhi haijawaka kabisa.

Nimejaribu sfc/scannow labda Windows imecorrupt hamna kitu

Nimetoa betri nikawasha tena hamna kitu.

Power ipo vizur

Nasikia sauti la fan linazunguka

Nimejaribu kuondoa services ambazo sio za muhimu lakin bado

Nimejaribu startup services kuondoa lakin bado

Jaman nahitaji msaada wenu.

WanaIT tafadhali
 
safe mode inaingia? jaribu kuboot safe mode then system restore kabla hujaeka hio update.
 
Natanguliza shukrani
Toshiba satellite c50-A534
Windows 7 professional

Hili tatizo lina kama wiki mbili ivi nadhani limeanza baada ya Windows update .

Kila nikiwasha inakaa kama saa moja au mawili then ndio inawaka.lakin leo toka asubuhi haijawaka kabisa.

Nimejaribu sfc/scannow labda Windows imecorrupt hamna kitu

Nimetoa betri nikawasha tena hamna kitu.

Power ipo vizur

Nasikia sauti la fan linazunguka

Nimejaribu kuondoa services ambazo sio za muhimu lakin bado

Nimejaribu startup services kuondoa lakin bado

Jaman nahitaji msaada wenu.

WanaIT tafadhali
Inakubali kuboot?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom