Fedora JF-Expert Member Sep 25, 2013 238 172 Jan 12, 2016 #1 Habarini wataalamu, nina modem yangu ya zantel line imepotea, je kuna uwezekana wa kuiflash itumie laini zote?
Habarini wataalamu, nina modem yangu ya zantel line imepotea, je kuna uwezekana wa kuiflash itumie laini zote?
jun bao Senior Member Jan 13, 2016 154 41 Jan 14, 2016 #2 Izo pia modem za zantel haziwekani ku unlocked
jun bao Senior Member Jan 13, 2016 154 41 Jan 14, 2016 #4 Tafuta modem za huawei e 303 iwe ya tigo au voda ukikosa nafuta modem ta airtel e 173 nikuaidie ku unlocked
Tafuta modem za huawei e 303 iwe ya tigo au voda ukikosa nafuta modem ta airtel e 173 nikuaidie ku unlocked