cleokippo
JF-Expert Member
- Dec 21, 2014
- 2,117
- 1,793
Wanajamvi,
Mimi nimekuwa nikitatizwa na vitu viwili kwenye simu;
(1) Yeyote anayefahamu jinsi ya kutambua simu inayoendana na mfumo wa 4G naomba anijuze ni kwa namna gani naweza kuitambua?
(2) La pili, nina simu yangu inazingua upande wa SMS, yaani nikiingia kwenye SMS, nikitaka kuandika herufi flani mfano N haitok N inatoka B, sasa sijui tatizo nini?
Kwa anayefahamu juu ya hayo mawili au mojawapo naomba anisaidie ili niweze kujua..