kivuli utusitusi Senior Member Oct 21, 2012 153 242 Jan 15, 2016 #1 Naomba kufahamu wapi naweza kupata display screen ya Hisence smartphone model HS - U800. Simu nimeinunua tekriban miez miwili iliyopita, imefondoka chini imepasuka display na touch imekufa.
Naomba kufahamu wapi naweza kupata display screen ya Hisence smartphone model HS - U800. Simu nimeinunua tekriban miez miwili iliyopita, imefondoka chini imepasuka display na touch imekufa.