tototundu
Senior Member
- Jul 29, 2009
- 198
- 40
Halafu haidumuMkuu umepata hivyo kwa sababu wengine kuanzia asubuhi simu zinasoma E tu
Ila kiukweli 4G ipo vizuri sana.Halafu haidumu
Mimi kwenye internet nina gundu na huu mtandaoIla kiukweli 4G ipo vizuri sana.
kama una kifaa cha 4g, kanunue modem ya tigo 4g kwa sh 50,000 (ulizia kama ofa ya gb 90 ipo), uza modem bei ya hasara hata 30,000 enjoy gb zako 30 kila mwezi kwa muda wa miezi 3.Dah mimi nipo nakomaa na spidi za kobe bora niwakimbie hawa jamaa sijui nihamie Halotel hao tigo na voda bundle zao zimekuwa na gharama kubwa sana
Hiyo speed kimeo..hata halotel 3g imepita hapo