Nawezaje Ku-flash simunadhifu kwa kutumia Mobogenie App?

1954tanu

JF-Expert Member
Jul 19, 2013
1,038
487
Nilisoma mahali kwamba Mobogenie App inaweza ikatumika ku-flash simunadhifu. Je! Inafanyikaje kwa ninyi wabobezi?
 
Umetumia kiswahili kizuri,"simu nadhifu".
simu nadhifu mwe! Tafsiri ya smart katika smartphone sio unadhifu ila ung'amuzi wa mambo. So nadhani simu ng'amuzi ni bora kuliko simu nadhifu. Au hata kama Mokiwa anavyopensa kuziita "simu janja"
 
mabogine ilitaka kuniharibia tarakilishi mpakato yangu, siiamini hata kidogo
 
Back
Top Bottom