Netflix ipo katika mfumo gani kwa hapa Tanzania?

mtoto wa mjini

JF-Expert Member
Jan 18, 2010
1,754
898
Naskia Netflix sasa inapatikana Tanzania,

Swali: Je, ipo kama cable TV au ni kwa Computer devices pekee?

Karibuni kwa michango..
 
Netflix ipo kwenye internet duniani kote haipo katika cable. Kuna baadhi ya TV zinakuja na App ya netflix so ukiunga TV na net unaangalia moja kwa moja.
 
Back
Top Bottom