Kuwa wakala wa TANESCO

Mtangoo

JF-Expert Member
Oct 25, 2012
6,167
5,610
Kuna process gani ili kuwa wakala wa kuuza umeme wa Tanesco. Hapa siongelei kuwa kama wakala wa MaxMalipo, Selcom au buttonpay bali naongelea kuwa wakala wa Tanesco kama MaxMalipo Buttonpay Selcom et al.
Anayejua please.
 
Last edited:
exactly. I've borrowed your vocabulary. Thanks

Karibu mkuu, nafikiri ungejaribu kuwaona hawa jamaa kwenye ofisi zao za TANESCO, japo huenda wakawa na masharti au vigezo vingi. Kinachonifanya nifikirie hivyo ni jinsi ambavyo sakata la maxmalipo na selcom lilichukua sura mpya hadi waziri kuingilia kati. Naona kuna mabenki nayo yanafanya hiyo huduma japo huenda wao wanapitia kwa agent na sio TANESCO moja kwa moja.
 
Samaritan definitely nitakwenda Tanesco but nilitaka nipate abc za process yenyewe ili kama kuna vitu vya kuandaa nianze kuandaa. Ahsante sana!
 
Back
Top Bottom