Ugiligili
JF-Expert Member
- Jun 20, 2014
- 3,023
- 4,053
Habari zenu wadau...naomba kuuliza kama hii app ya JF inapatikana sshv kwenye all versions of windows phone!? Kwa sababu nilikuwa nina LUMIA 520 iliyokuwa ina run windows 8.1 lakini sikuona store..Sasa natumia Android cuz lumia yangu ilizingua and I want to buy a new one and get back to ma family(windows-Lumia 640XL) lakini bado nina wasiwasi kama hii app inapatikana au la.Naombeni msaada wenu wadau. Thanks in advance...