Mtaalam wa Wordprss, Nahitaji Huduma yako

Mjasiriamali M

Senior Member
Jan 15, 2013
142
69
Habari za leo wakuu, katika pitapita zangu nimeamua kununua hosting ya site yangu, natumia wordpress, kuna template nimenunua ila inanipa shida kuwa extracted mpaka kuwa installed.

kama wewe ni mjuzi wa hili pls help, nicheki katika 0752 98 13 80 au 0719 44 72 04.

Tuone tunasaidiana vp!
 
1. ku extract utatakiwa uwe na winrar au 7zip then extract kwenye pc.

2. ndani utakuta psd files, documentation na tutorial nyengine pamoja na themes yako ikiwa kama folder.

3. itabidi ulicompress folder la themes kuja kama zip file tena tayari kwa ajili ya kuli upload.

4. login kwenye wordpress yako halafu nenda appearence then themes then install themes then upload halafu chagua lile zip file.

kama bado hujaelewa nitajie jina la hio themes nikutengenezee hata mini tutorial.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom