Mkuu unataka kununua simu gani kati ya hizo,maana wewe umesema unataka kununua hiyo simu huku ukiwa umeorodhesha modeli tatu tofauti.Nataka ninunue hiyo simu, naweza kupata kwa bei gani na iwe original na ni kwenye maduka gani mikoa ya Arusha, Dar es Salaam, Mwanza na Mbeya?
Sababu ya kutaja hiyo mikoa itategemea hiyo siku nataka kuinunua nitakuwa Mkoa gani.
M7 kimeo usinunue inapata moto sanaNataka ninunue hiyo simu, naweza kupata kwa bei gani na iwe original na ni kwenye maduka gani mikoa ya Arusha, Dar es Salaam, Mwanza na Mbeya?
Sababu ya kutaja hiyo mikoa itategemea hiyo siku nataka kuinunua nitakuwa Mkoa gani.
Zote hizo ni balaa tu labda uangalie kampuni nyingine mkuuAsante sana, M7 naachana nayo, imebakia M8 ama M9
Kama autokua na sababu za msingi na unataka HTC.basi nunua HTC ONE MAX ni simu inayokaa na chaji.pili ina ram 2gb storage 32 gb.ni mzuri kuliko m8.kwa arusha nenda kwa benson.dar kuna duka lipo msimbazi nitakujulisha maana nilinunua hapo yapata mwaka na sasa.nimeacha kutumia modem tenaNataka ninunue hiyo simu, naweza kupata kwa bei gani na iwe original na ni kwenye maduka gani mikoa ya Arusha, Dar es Salaam, Mwanza na Mbeya?
Sababu ya kutaja hiyo mikoa itategemea hiyo siku nataka kuinunua nitakuwa Mkoa gani.