Wilhelm Johnny
JF-Expert Member
- Jan 13, 2016
- 1,364
- 1,315
Play store yangu hainionyeshe app ambazo zinatakiwa zi update
Sawa mkuu ngoja nikachekiKama unatumia simu ya android fungua playstore, upande wa kushoto kwako juu kuna alama kama ya sawa sawa uibonyenyeze hiyo, shuka chini kwenye setting utaona Notifications, chini utaona App Updates available, ipige tick hapo mwishoni itakuwa tayari.
Umebadilisha lini? Inawezekana tangu ulipo-update bado hawajatoa update zingine hivyo usubiri, au ikiwa tatizo ni notifications tu, nenda pale uangalie apps zote ikiwa zinahitaji update zitakuonesha tu.Ili tatizo limeanza baada ya kubadilisha Gmail
Tumia njia hiyo hiyo ku-update apps huenda tatizo likaisha baada ya muda mfupi.Majuzi tu but leo nimeingia nikasearch jamiiforums ndio nikajua inahitaji update
Pouwa mkuuTumia njia hiyo hiyo ku-update apps huenda tatizo likaisha baada ya muda mfupi.
Sawa mkuuBadilisha hiyo auto update over Wi-Fi iwe mobile data.