kunguni wa ulaya
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 4,131
- 6,109
Kuna watu huwa wanatamani kuangalia soccer ligi mbalimbali za ulaya kupitia laptop zao na hawajapata njia rahisi jibu ni hili hapa.
Unachotakiwa kuwanacho ni laptop yako/PC pamoja iwe na huduma ya internet tu. Utaweza jionea channel zote kubwa za nje kama una internet nzuri wala haifanyi buffering kwa sana. Channels kama Sky sports zote, BBC, sky news nk.
Tumia browser ya internet explorer, ingia Google kisha type cricfree. Chagua hiyo option ya mwanzo kabisa...kisha endelea.
Kama kuna watu wanaifahamu hii njia, sio lazima walete kejeli wanaweza kuongezea ujuzi zaidi ili kuboresha ubora wa muonekano. Najua kuna watu watafaidika na hii.
Ulaji wa bando sio sana...
Twende kazi...