Naomba msaada kwenye techno y6

Kabelwa

JF-Expert Member
Mar 19, 2015
664
176
Wadau mwenye kufahamu jinsi ya kuifanyia hard reseat simu tajwa hapo juu step kwa step naomba maelekezo
 
Zima, toa battery, irudishe. Kisha bonyeza button ya volume down na ya power. Fuata maekekezo wanayokupa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom