Window Phones, faida zake na hasara zake

Kichwa Ndio Mtu

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2014
Posts
3,079
Reaction score
1,719
Wakuu hivi karibuni nimenunua window phone,baada ya manzi wangu kung'ang'ania simu yangu ya samsung,nikaamua ku-'experience the difference' kwa kuhamia Window phone kutokana na kwamba mimi nilikua mpenzi wa simu za nokia,nikasema ngoja nirudi nyumbani.

Nilichokikuta huko kimenikatisha tamaa sana,kuna vitu kwa kuvutia kule hasa user interface,smoothness,live tiles,kuweka au kutoa chochote unachokitaka kwenye home page katika simu za window.

Ila mabaya ni mengi hasa tuliozoea simu za android,application za kumwaga,tena za bure kabisa,kilichonikatisha tamaa ni store yao kua immature,yaani store ya window phone bado ni ya kitoto sana,application chache sana tena za kikuda sana,nyingine zilizopo tena za kawaida kabisa zinauzwa ambazo kwenye android ni bure.

Ujinga mwingine ni kwenye gallery, huwezi kuangalia video zako ulizodownload hadi kuwe na internet connection vinginevyo huwezi kuziona. Hii pia ni ujinga uliokubuhu.

Binafsi napenda uhuru wangu, sasa huku window hakuna application inayoweza kukulinda, mfano kwenye android unaweza kuweka application ambayo simu ikipigwa hadi uweke password ndio uone nani anapiga,kupokea pia unaweka password, huku window hakuna kitu kama hiyo, hii inaniweka kwenye wakati mgumu sana hasa napokua na manzi wangu.

Kwa ujumla window phone bado wana safari ndefu ya kwenda,application za kwenye window phone hazijafika hata robo ya application za android, little soon narudi android. I am very much disappointed.

CC: CHIEF MKWAWA
 
-huwezi kuangalia video za gallery? si kweli unaweza kuangalia ni vyema ukataja na aina ya simu unayotumia au os yake

-kuita app chache na za kikuda haitasaidia kitu ni vyema ungesema nimekosa app kadhaa ili uweze kusaidiwa alternative.

-hapo kuweka simu inapigwa ueke password unamaana kila ukipigiwa mtu hawezi pokea hadi ueke password? windows phone ni os ambayo ina security kubwa haiwezi kuruhusu kitu kama hicho ndio maana hutaskia virusi au malware hivyo haiwezi kumruhusu developer kila simu zako azipokee yeye. ila kama unataka lock screen lock, folder lock na app nyengine zinazofichA mafile hizo
 
By the way windows phone haii sapoti apps zinazo tweak system like android, kwenye android unaweza lock apps, hide or disable apps, run automatic tasks, change launchers etc. In short kama unataka uwe na kontrol nzuri ya simu yako WP is not good for you.
 
  1. Ukipigiwa mpk uweke seurity lol sijawahi kuona hii mkuu ni simu ganii hiyo mkuu

-huwezi kuangalia video za gallery? si kweli unaweza kuangalia ni vyema ukataja na aina ya simu unayotumia au os yake

-kuita app chache na za kikuda haitasaidia kitu ni vyema ungesema nimekosa app kadhaa ili uweze kusaidiwa alternative.

-hapo kuweka simu inapigwa ueke password unamaana kila ukipigiwa mtu hawezi pokea hadi ueke password? windows phone ni os ambayo ina security kubwa haiwezi kuruhusu kitu kama hicho ndio maana hutaskia virusi au malware hivyo haiwezi kumruhusu developer kila simu zako azipokee yeye. ila kama unataka lock screen lock, folder lock na app nyengine zinazofichA mafile hizo

..
.
Hebu saidia kuhusu hizo apps hapo mkuu za kuficha na launcher mbali mbali.
 
nenda store andika neno lock zitakuja kibao, nzuri ni zile ambazo watu wengi wamezirate vizuri

kuhusu launcher wp ina mfumo wa tiles unaweza kuzicustomize milions of ways labda wewe unataka ziwe vp
 
Wakuu hivi karibuni nimenunua window phone,baada ya manzi wangu kung'ang'ania simu yangu ya samsung,nikaamua ku-'experience the difference' kwa kuhamia Window phone kutokana na kwamba mimi nilikua mpenzi wa simu za nokia,nikasema ngoja nirudi nyumbani.

Nilichokikuta huko kimenikatisha tamaa sana,kuna vitu kwa kuvutia kule hasa user interface,smoothness,live tiles,kuweka au kutoa chochote unachokitaka kwenye home page katika simu za window.

Ila mabaya ni mengi hasa tuliozoea simu za android,application za kumwaga,tena za bure kabisa,kilichonikatisha tamaa ni store yao kua immature,yaani store ya window phone bado ni ya kitoto sana,application chache sana tena za kikuda sana,nyingine zilizopo tena za kawaida kabisa zinauzwa ambazo kwenye android ni bure.

Ujinga mwingine ni kwenye gallery, huwezi kuangalia video zako ulizodownload hadi kuwe na internet connection vinginevyo huwezi kuziona. Hii pia ni ujinga uliokubuhu.

Binafsi napenda uhuru wangu, sasa huku window hakuna application inayoweza kukulinda, mfano kwenye android unaweza kuweka application ambayo simu ikipigwa hadi uweke password ndio uone nani anapiga,kupokea pia unaweka password, huku window hakuna kitu kama hiyo, hii inaniweka kwenye wakati mgumu sana hasa napokua na manzi wangu.

Kwa ujumla window phone bado wana safari ndefu ya kwenda,application za kwenye window phone hazijafika hata robo ya application za android, little soon narudi android. I am very much disappointed.

CC: CHIEF MKWAWA

Uliponiacha hoi kabisa ni uliposema huwezi ku-play video zako ulizo-download mpaka uwe na internet connection!!!! Windows phone gani hiyo unayotumia? Sometimes inawezekana ukawa hujajua kuitumia ukakimbilia kuiponda...
 
Ukiwa una mazoea ya kutmia android utapata shida unapohamia window ,jinsi ya ku access vi tu mbali mbali.
Ni sawa ukizoea kuendesha manual ukahamia kwenye auto gear transmission,lazima utapata shida tu.
 
-huwezi kuangalia video za gallery? si kweli unaweza kuangalia ni vyema ukataja na aina ya simu unayotumia au os yake

-kuita app chache na za kikuda haitasaidia kitu ni vyema ungesema nimekosa app kadhaa ili uweze kusaidiwa alternative.

-hapo kuweka simu inapigwa ueke password unamaana kila ukipigiwa mtu hawezi pokea hadi ueke password? windows phone ni os ambayo ina security kubwa haiwezi kuruhusu kitu kama hicho ndio maana hutaskia virusi au malware hivyo haiwezi kumruhusu developer kila simu zako azipokee yeye. ila kama unataka lock screen lock, folder lock na app nyengine zinazofichA mafile hizo

naomba unisadie mkuu. Nimechukua Nokia Lumia 820 juzi kati hapa inarun windows8 jana nimejarubu kuupdate software still sijaona changes zozote bado upo ileile win8. naomba msaada jinsi ya kuupdate kwenda 8.1
 
Wakuu hivi karibuni nimenunua window phone,baada ya manzi wangu kung'ang'ania simu yangu ya samsung,nikaamua ku-'experience the difference' kwa kuhamia Window phone kutokana na kwamba mimi nilikua mpenzi wa simu za nokia,nikasema ngoja nirudi nyumbani.

Nilichokikuta huko kimenikatisha tamaa sana,kuna vitu kwa kuvutia kule hasa user interface,smoothness,live tiles,kuweka au kutoa chochote unachokitaka kwenye home page katika simu za window.

Ila mabaya ni mengi hasa tuliozoea simu za android,application za kumwaga,tena za bure kabisa,kilichonikatisha tamaa ni store yao kua immature,yaani store ya window phone bado ni ya kitoto sana,application chache sana tena za kikuda sana,nyingine zilizopo tena za kawaida kabisa zinauzwa ambazo kwenye android ni bure.

Ujinga mwingine ni kwenye gallery, huwezi kuangalia video zako ulizodownload hadi kuwe na internet connection vinginevyo huwezi kuziona. Hii pia ni ujinga uliokubuhu.

Binafsi napenda uhuru wangu, sasa huku window hakuna application inayoweza kukulinda, mfano kwenye android unaweza kuweka application ambayo simu ikipigwa hadi uweke password ndio uone nani anapiga,kupokea pia unaweka password, huku window hakuna kitu kama hiyo, hii inaniweka kwenye wakati mgumu sana hasa napokua na manzi wangu.

Kwa ujumla window phone bado wana safari ndefu ya kwenda,application za kwenye window phone hazijafika hata robo ya application za android, little soon narudi android. I am very much disappointed.

CC: CHIEF MKWAWA

Mkuu hili la kuangalia video za gallery bila internet si la kweli kabisa, unaweza kuangalia video bila internet, unaweza kusikiliza music ya kwenye SDcard offline pia. pia swala la kuweka phone security linawezekana, ila unaweza kuona notification tu bila kuweka password.
 
naomba unisadie mkuu. Nimechukua Nokia Lumia 820 juzi kati hapa inarun windows8 jana nimejarubu kuupdate software still sijaona changes zozote bado upo ileile win8. naomba msaada jinsi ya kuupdate kwenda 8.1

Endelea ku update kaka. Kuna updates kama 5 hv hadi ufkie 8.1
 
duh..nitafanya hivyo pia naomba msaada wa app gani ya file manager?

zipo nyingi ila official ya microsoft inaitwa files, kama utaona function zake hazitoshi cheki kuna pocket file manager, metro file manager nk
 
-huwezi kuangalia video za gallery? si kweli unaweza kuangalia ni vyema ukataja na aina ya simu unayotumia au os yake

-kuita app chache na za kikuda haitasaidia kitu ni vyema ungesema nimekosa app kadhaa ili uweze kusaidiwa alternative.

-hapo kuweka simu inapigwa ueke password unamaana kila ukipigiwa mtu hawezi pokea hadi ueke password? windows phone ni os ambayo ina security kubwa haiwezi kuruhusu kitu kama hicho ndio maana hutaskia virusi au malware hivyo haiwezi kumruhusu developer kila simu zako azipokee yeye. ila kama unataka lock screen lock, folder lock na app nyengine zinazofichA mafile hizo

habari mkuu,jana nilijaribu kuinstall window 8.1 kwenye simu yangu ambayo ni nokia lumia 620 baada ya kuona preview ya window 10 inazingua nikatembelea nokia microsoft nikakuta wameelekeza namna ya kurudishia win 8.1 na nikadownload WINDOW PHONE RECOVER TOOL nikafuata taratibu zote ila simu ilipoanza kuboot ikanletea failure msg nkajaribu tena na tena hatimaye ikaniletea RED SCREEN na inaonyesha PROGRESS BAR NIKASUBIRIA IKAFAIL TENA nikarudia ikaniambia MAKE SURE YOUR BATTERY HAVE MORE THAN 25%(wakati battery ilikuwa full) kisha ikanletea FAILURE MSG na ikazima kuanzia hapo nikiconnect kwenye LAPTOP inakuwa kwenye mfumo wa QHSUSB_DLOAD na WINDOW PHONE RECOVER TOOL haidetect tena. je, kuna namna yoyote inayoweza kusolve tatizo hili? au ndo nimeshai BRICK kilichobaki ni kuitupa? maana nimegoogle na nimejaribu PROCEDURE zote imeshindikana mpaka njia ya THOR2 kupitia ADMINISTRATOR COMMAND PROMPTY lakini wapi! je, kwenda kuiflash itawezekana? kama yawezekana naomba unielekeze kwa mtaalamu anayeaminika Chief-Mkwawa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom