Gari aina ya Toyota Brevis

Gari aina ya Toyota Brevis

bigresult

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2014
Posts
440
Reaction score
86
Ndugu wanaJF, kwa mwenye kuifahamu vyema gari aina tajwa hapo juu anisaidie hasa kuhusu ulaji wa mafuta na uimara wa injini zake ni D4 VVTi ya mwaka 2004, nimeitamani sana.

Ahsanteni.
 
Its a comfotable cheap sedan. Not suitable for offroad day to day activities. You need to have deep pockets, fuel consuption is worse. That car depreciate too fast cause they are not preferable to many.
 
mkuu brevis ni gari za umeme system yake kwaiyo ni rais sana kupata short zinaitaji mafundi makini sana ndio mana kwa bongo hatuziwezi na sikushauli kwanza fuel consumption yake ipo juu na kuuza ni issue kuna jamaa yangu amenunua 12M na sasa analiuza 6M mpaka sasa miez 8 imepita hajapata mteja
 
Ni gari nzuri sana lakini mafuta ulaji wake ni shida, pia engine D4 sikushauri ununue mkuu zinasumbua sana wakati ukitaka kuuza!
 
Zile kitu zinakunywa mafuta hatari...
Ila nzuri sana ndani
 
Ni magari ya fasheni, ikipita hiyo kwaheri.
 
Wakuu baada ya majibu hayo.
Kuna hizi TOYOTA MARK II GX 110
Maana naona zilikuja kwa kasi halafu zikashuka bei kwa kasi ya kutisha na muundo wake mzuri ndani na nje.
Je hizi nazo majanga yake ni yapi
 
Mimi nanumua brevis week hii. Nataka premium but sijajua nichukue au lah. Nyingine hio ina backup camera haina live sound.
 
Acheni woga wa maisha brevis cha kwanza inausalama, inabalance nzuri road, modern car, kama gari utaitunza yanini kuogopa kuwa itakuharibikia, kama unaenda safari ukitembea 120 kph kushuka chini waweza kutoka dar to dom kwa nusu tank, pia ni gari ambayo huwa inafananishwa na BMW series 3 coz brevis ilitolewa hili kushindana na bmw s3 kwenye soko, brevis ukitumia D4 VVTI 300i huwa inatembea sawa na prado TX ya 2004, but D4 vvti 250i huwa inakua na moto wa kawaida road.
Pia brevis ni luxury sana ndani, sound isolation system ipo, navigation system, airbag 4, abs brake system, traction control,

Kama hautaogopa mafuta nakushauri nunua, but kama umezoea vitz na passo basi brevis acha tu haitakua useful kwako...
 
Wakuu baada ya majibu hayo.
Kuna hizi TOYOTA MARK II GX 110
Maana naona zilikuja kwa kasi halafu zikashuka bei kwa kasi ya kutisha na muundo wake mzuri ndani na nje.
Je hizi nazo majanga yake ni yapi

Mkuu mie ninayo GX110 namba A lakini mpaka leo inadunda na almost kila mwezi nasafiri nayo.....ni gari nzuri sana
 
Baloon ziliharibiwa soko na gx100

Gx100 zikaharibiwa soko na gx110 grande

Gx110 zikaharibiwa soko na verossa

Verossa zikaharibiwa soko na brevis

Brevis zikaharibiwa soko na mark x

Mark X zinakujaharibiwa na crown athlete

Crown athlete zitaharibiwa na nissan fuga
 
Its a comfotable cheap sedan. Not suitable for offroad day to day activities. You need to have deep pockets, fuel consuption is worse. That car depreciate too fast cause they are not preferable to many.

Very true. Just like the name itself suggests, BREVIS, thats Latin for Brief. It is short lived. Hata production yake imekaa muda mfupi na kuwa discontinued. Nice car, lakini mmh
 
Acheni woga wa maisha brevis cha kwanza inausalama, inabalance nzuri road, modern car, kama gari utaitunza yanini kuogopa kuwa itakuharibikia, kama unaenda safari ukitembea 120 kph kushuka chini waweza kutoka dar to dom kwa nusu tank, pia ni gari ambayo huwa inafananishwa na BMW series 3 coz brevis ilitolewa hili kushindana na bmw s3 kwenye soko, brevis ukitumia D4 VVTI 300i huwa inatembea sawa na prado TX ya 2004, but D4 vvti 250i huwa inakua na moto wa kawaida road.
Pia brevis ni luxury sana ndani, sound isolation system ipo, navigation system, airbag 4, abs brake system, traction control,

Kama hautaogopa mafuta nakushauri nunua, but kama umezoea vitz na passo basi brevis acha tu haitakua useful kwako...

Well said mdau
 
Gari ya toyota iliyotengenezwa kupambana na 3 series ni Lexus IS. Brevis ilitengenezwa kwa ajili ya young drivers na duniani haikua na mauzo mazuri saana kama ilivyo kwa Lexus IS.
 
Kwa kawaida ukiomba ushauri ukafanya tathminina kuona waliotoa ushauri zaidi ya asilimia 60 wameshauri NO na 40% wakasema Yes basi piga chini hiyo project. In this case ni kama 80% wamesema N why go ahead with the project?
Anyway, kazi inabaki kuwa kwako. Hao wote ni ma mbayuwayu, sasa ni mda wako wa kuchanganya na wewe akili zako.
 
Back
Top Bottom